




Mtu mzima Bushoke bado yuko pande za South Africa na hivi leo amenitumia picha za utengenezaji wa video yake nyingine akiwa na msanii kutoka Uganda anaitwa FACEE OFF. Bushoke anasema wimbo huo alioupa jina la SHE WANTS IT umeimbwa katika lugha 3 akimaanisha KISWAHILI, ENGLISH na KIGANDA, video imefanyika Capetown ndani ya location 3 tofauti na kampuni iliyoshoot video hiyo inaitwa DIRTY SOUL. Thank you for visiting Mwinyi Blog, please click HERE to like my facebook page for more entertainment.