Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

PICHA ZA MAPOKEZI YA MENEJA WA T.I

$
0
0


Kutoka U S A mpaka bongo


Moja wa wakilishi wa cloudsmedia akiwapokea




Huyu ndie Jason Geter meneja wa T I












Jason Geter mbele ya camera ya clouds media group kwaajili ya interview















Nifuraha kubwa kwa wapenda burudani wote nchini na n'je ya nchi kwa ujio wa manager wa msanii mkubwa wakimataifa T. I kuwasili katika aridhi ya Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Taifa wa Mwalimu Julius Nyerere,furahiyo ni kwa sababu huu ni uthibitisho wa msanii huyo wa kimataifa kuja kwa ajili ya Serengeti Fiesta 2014 Dar es salaam jumamosi hii 18 oct 2014 pale pale ledears club. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>