Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

PICHA ZA MAANDALIZI YA VIDEO YA WIMBO WA AMANI

$
0
0
BAADHI YA PICHA ZA MAANDALIZI YA VIDEO YA AMANI ILIYOWAIGIZA VIONGOZI MAARUFU WA KISERIKALI MMOJA KATI YAO NI HAYATI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS KAMBALAGE NYERERE ILIYOIGIZWA NA OSCAR PETRO MAARUFU KAMA OSCAR NYERERE NA NWINGINE NI RAISI WA AWAMU YA NNE MH.DOKTA JAKAYA M. KIKWETE ILIKYOIGIZWA NA SHAPHII OMARY MAARUFU KAMA DR.MFYUZI A.K.A PRESIDER

Shaphii Omary(Dr.Mfyuzi )alieigiza sauti ya raisi wa awamu ya nne Dkt Kikwete
Presider Dr.mfyuzi akiwa na baadhi ya waliocheza kama maafisa usalama, Kushoto ni Gwalugano Mwalusamba (Miwani) na kulia ni Leonard
Mheshimiwa akiwa katika action

Picha hapo juu ikiwaonesha waliocheza kama Makatibu na baadhi ya washiriki mbali mbali wakisiliza hotuba ya mheshimiwa.

Director Allen Massara alievalia kofia nyekundu ambae ndiye muundaaji mkuu wa video ya amani akichapa kazi kama inavyotakiwai na waigizaji mbali mbali wanaonekana kwenye wimbo huo.

Picha juu Salome Sokoni Nonge kushoto(Mama Abdul aka Mama kantangaze original au mama sikujua/kijumbe Tanzania nzima)akiwa kwenye action kama katibu wa wizara)

Oscar Nyerere akiwekwa sawa na presider dr mfyuzi tayari kuingia kwenye action.

Baadhi ya wasanii wakiwekana sawa wakati zoezi la shooting likiendelea

Oscar Petro kushoto(Oscar Nyerere akiwa katika pozi kuvalia na kujiweka kama Hayati Mwl Nyerere)

Walioigiza kama maafisa usalama kwenye pozi la kujiachia

Mc Betty Kazimbaya (mmoja wa wasanii anaepatikana kwenye filamu au mchezo wa siri ya mtungi)alieigiza pia kwenye wimbo wa amani kama katibu wa wizara.

Salome Sokoni Nonge (Mama Abdul aka Mama kantangaze original au mama sikujua

Msanii maarufu wa filamu na comedy nchini Tanzania na vile vile mtunzi wa michezo ya kwenye luninga mchezo ujilikanao kama Nusura kwenye stesheni ya TBC1 nchini Bwn. Steven Peter Mfuko aka zero aliecheza kama mwandishi wa habari.

Mmoja kati ya waliocheza kama afisa usalama (leonard Kalaba)akiwa katika pozi ya kupokea diary mara baada ya mheshimiwa kumaliza hotuba yake fupi na waandishi wa habari na makatibu wakuu.

Raisi akiwa anawaaga watu waliokuwa wamehudhuria mkutano wa wazi wa waandishi wa habari pamoja na makatibu.

Picha ya pamoja ya walioshiriki katika wimbo huo unaosisitiza amani ndani ya nchi ya Tanzania. Asante kwa kutembelea MWINYI BLOG naomba ubofye HAPA kuingia kwenye page yangu ya facebook na kulike page ili uendelee kupata burudani na matukio ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>