
Diamond na Wema wakipiga picha za Red Carpet katika tuzo za MTV zinazoendelea usiku huu mjini Durban South Afrika, wadau wamempongeza designer wao kwa mavazi mazuri yaliyo match vizuri, kuanzia nguo hadi saa na bangili za mkono. NI SUPERB!…















Credit:ameyawdebrah na GPL
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.