Adelaida Seenga mshindi wa Miss Dodoma 2014 akiwa na washindi wenzake, Wagesa Mshindi wa pili kulia pamoja a Linda mshindi wa tatu kushoto.
Adelaida Seenga akiwa katika pozi la furaha mara baada ya kutangazwa kuwa Mshindi.
Watu waliojitokeza katika mashindano hayo walionesha kuridhishwa na matokeo kwani hapakutokea malalamiko yoyote toka kwa mashabiki na badala yake ukumbi mzima ulilipuka kwa kelele za shangwe kuonesha kuwa walikuwa wamemtegemea mshindi aliyetajwa.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na warembo
Warembo wote wakiwa katika picha ya pamoja na washindi
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.