Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Shakira - La La La (Brazil 2014) ft. Carlinhos Brown (Official Video)

$
0
0

Baada ya kufanya poa sana na wimbo wake 'wakawaka' kwenye kombe la dunia mwaka 2010,Shakira amerudi tena na kibao kingine 'La La La' maalum kwenye kombe la dunia mwaka huu ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja na mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain Gerard Pique. Wachezaji wengine walionekana kwenye video hiyo ni Lionel Messi, Aguero, Radamel Falcao na wengine wengi. Tazama Video yake hapa:
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>