Baada ya Confused, hii ni bonge moja ya ngoma nyingine kutoka kwa Salmin Swaggz. Mzigo umefanyika GrandMasters chini ya John B. Sikiliza uone jamaa amefanya nini humo ndani.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.