
Video hii imetengenezwa chini ya director Eddy wa Creative Minds Tz…. Hii ni itakua video ya kwanza kwa msanii huyu TheKISSER STRAWBERRY katika wimbo uitwao UMEPENDEZA ambao amemshilikisha Jacko Elly wimbo ambao umetoka mwezi wa kwanza mwaka huu,video hii inatarajiwa kutoka mapema kabla ya mwezi wa 5 kuisha












Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.