
Leo usiku kuanzia saa 3 kwenye show ya THE MBONI utakutana na msanii mkongwe wa bongo fleva hapa nchini akizungumzia maisha yake ya kimziki na mengineyo mpaka leo hii bado anaendeleza bakora kwenye kila sekta. Katika kituo chako bora kabisa cha EATV Pekee ndipo utayaona mazungumzo hayo ambayo yalifanyika katika mgahawa wake wa Nyumbani Lounge.



Mboni akiwa na mume wa Lady Jay Dee anaitwa Gadna G Habashi

Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.