
Usikose kipindi kipya cha 'DADA JIJUE' kutoka kampuni ya Wanawake Live TV kitakachofundisha wafanyakazi wa kazi za majumbani... Humo ndani watajua mbinu mbalimbali za kufanya kazi zao kwa ufanisi. Hapa wana nafasi kubwa ya kutimiza malengo yao. Humu pia utapata kufahamu mfanyakazi wa kazi za ndani anaishi vipi na bosi wake na; Je, ni changamoto zipi anazokumbana nazo? Usikose, endelea kutazama STAR TV na kutembelea website ya WANAWAKE LIVE www.wanawakelivetv.com kwa taarifa zaidi.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.