Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Lulu Kulipamba Jarida la Vibe kwa Kua ukurasa wa mbele tolea lijalo.

$
0
0




Kupitia akaunti yake ya Instagrama mwanadada Elizabeth Michael AKA Lulu ameweka picha hiyo hapo juu. Picha hiyo inaonyesha kua jarida lijalo la Vibe Lulu atahusika kupamba ukurasa wa mbele wa jarida hilo. Mastar wengine waliowahi kuonekana katika ukurasa wa mbele wa Vibe ni kama Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue.

 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>