Ndani ya viwanja vya Coco beach,jijini Dar. ilikuwa ndio siku ya kuhitimisha mfululizo wa,shows za GOOD TIME YA UKWELI, zilizoandaliwa na kampuni ya,Coca cola . Diamond Platnumz na team ya vijana wake makini wa WCB walikuwepo na wakafanya yao kama kawa.......!!!!!
Walipowasili
Dj Romy Jons
Hivi inaonesha ni jinsi gani mashabiki wanavyomkubali Diamond Platnumz ambapo walitamani japo kumshika mkono.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.