Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

HUYU NDIYO MREMBO ATAKAEONEKANA KWENYE VIDEO MPYAA YA OMMY DIMPOZ..!!

$
0
0


Ommy Dimpoz amerudi Tanzania March 10 2014 saa tano usiku ambapo tovuti ya Millard Ayo iliweza kumnasa baada ya kushuka.

Amethibitisha ni kweli amefanya video yake mpya London ambapo aliehusika kama Director ni mshkaji ambae amefanya video kadhaa za wakubwa wa Afrika kama Azonto ya FUSE ODG, video za caro ya Wizkid na Davido ‘skelewu’





Hizi zinazofata hapa chini ni baadhi ya pichaz tu za utengenezwaji wa video hii mpya ya Ommy Dimpoz huko London.








Huyu hapa chini ndio Director mwenyewe anaitwa Moe Musa Mwingereza mwenye asili ya Nigeria ambae unaambiwa gharama ya video anazozifanya ni kuanzia dola za kimarekani elfu 20 na kuendelea, kwa haraka haraka ni zaidi ya milioni 30.

Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>