Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Ujio mpya wa Roma Mkatoliki.

$
0
0


Roma ni miongoni mwa wasanii ambao wanatoa nyimbo chache sana kwa mwaka mzima au pengine katika mwaka mzima akatoa wimbo mmoja tu, kumbukumbu ya wimbo wa mwisho kuuachia ulikua unaitwa 2030 ambao ulitoka mwishoni mwa mwaka 2012.




Huu ni ujio wake mpya ambao umekuja na wimbo mpya ambao ameupa jina la KKK,kirefu na maana halisi amesema atakuja kuelezea siku ya kuuachia wimbo rasmi tarehe 10 March 2014 ambayo ni Jumatatu ijayo, hiki ni kipande anachoelezea kwa ufupi.
Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>