Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

(PHOTO'S) Who is the Best film making/2013-2014 Directed by Japha junior/D.O.P StevChampion & Kadevistar

$
0
0

Kikundi cha kuigiza cha TPSC Entertainment Club katika chuo cha Utumishi wa Umma-Tabora wanawaletea filamu ya "Who is the Best" ambapo ndani ya filamu hiyo utapata kumuona Bi Mwenda pamoja na waigizaji wengine chipukizi wanaoibukia katika tasnia ya filamu nchini kutoka mkoani Tabora. Movie hiyo imezinduliwa jana tarehe 08/02/2014 katika ukumbi wa Chuo Cha Utumishi wa Umma mkoani Tabora. Chini ya Director Japha Junior/D.O.P Steve Champion pamoja na Kadevistar, tukae mkao wa kula kusubiri kuona mambo yaliyo ndani ya movie hii.

Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>