Quantcast
Channel: MWINYI BLOG
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Breaking Newzzz: Ghorofa ya Gms Kariakoo yawaka Moto muda huu.

$
0
0
Taarifa za awali amabazo hazijathibitishwa rasmi lakini zinadai kuwa kuungua kwa ghorofa hili kumesababishwa na short ya umeme kwa sababu sehemu kunakowaka moto kuna transformer. Ghorofa hili mpaka sasa hivi bado linaendelea kuwaka.


Ghorofa hili Lipo maeneo ya Kamata mkabala na Bavaria ni jengo la Gms,Muda uliaoanza kuwaka ni saa 8 mchana mpaka sasa.
 Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 3319

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>