
MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO WAKE KUPITIA LUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, JANA SAA 12 JIONI KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
TAARIFA ZAIDI JUU YA KIFO CHAKE NA MAZISHI TUTAENDELEA KUKUJUZANA.....


Asante kwa kutembelea Mwinyi Blog, naomba ubonyeze HAPA ulike page yangu ya facebook ili uendelee kupata matukio mbalimbali ya hapa na pale.